Mungu ibariki Afrika God Bless Africa.
Wabariki Viongozi wake Bless its leaders.
Hekima Umoja na Let Wisdom Unity and
Amani Hizi ni ngao zetu Peace be the shield of
Afrika na watu wake. Africa and its people.
CHORUS
Ibariki Afrika Bless Africa,
Ibariki Afrika Bless Africa,
Tubariki watoto wa Afrika. Bless the children of Africa.
Mungu ibariki Tanzania God Bless Tanzania.
Dumisha uhuru na Umoja Grant eternal Freedom and Unity
Wake kwa Waume na Watoto To its sons and daughters.
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. God Bless Tanzania and its People
CHORUS
Ibariki Tanzania Bless Tanzania,
Ibariki Tanzania Bless Tanzania,
Tubariki watoto wa Tanzania. Bless the children of Tanzania.